Burudani

Picha: Lulu Diva atua Kenya na ‘Utamu’ wake kwa kishindo

Muimbaji Lulu Diva ametua nchini Kenya wiki jana katika harakati za kuusambaza wimbo wake mpya uitwao, Utamu.

Lulu Diva akifanya yake stejini

Diva huyo aliweza kufanya mambo makubwa katika kipindi cha ‘Ten Over Ten’ kinachorushwa na kituo Cha Television cha Citizen TV.

Pia weekend hii muimbaji huyo alifanya show na kuburudisha jukwaani kwa mara ya pili ikiwa ni baada ya kufanya show kama hiyo weekend hiyo hiyo.

Lulu Diva bado anaendelea na TOUR yake mpaka tarehe 24 mwezi huu. Picha.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents