Habari

Picha: M 2 the P, Chamber Squad na Dully Sykes wafanya dua kwenye kaburi la Mangwea

Kundi la Chamber Squad (Noorah na Maze B) aliyekuwa rafiki wa karibu na marehemu Albert Mangwair, M2 the P, Dully Sykes, Mchizi Mox na wengine leo wamemtembelea mama yake Ngwair mjini Morogoro pamoja na kwenda kwenye kaburi lake na kumuombea.

IMG_0903

M2 THE P akiwasha mshumaa kwenye kaburi la rafiki yake Mangwea.
M2 the P akiwasha mshumaa kwenye kaburi la rafiki yake Mangwea

M2 THE P,Dully Sykes,Mchizi Mox na wadau wengine kumuombea rafiki yao kipenzi marehemu Albart Mangwea.
M2 THE P, Dully Sykes, member wa Chamber Squad na wengine wakimuombea rafiki yao kipenzi marehemu Ngwair

Shughuli hiyo ya kumuombea marehemu Albert Mangwea ilienda sambamba na kuwasha mishumaa kwa imani ya kikristu ili kumwangaza huko aliko.

IMG_0902
Maze B akipiga picha kaburi la Ngwair

IMG_0911

IMG_0912
Mchizi Mox akiwa ameshikilia mishumbaa mbele ya kaburi la Mangwair

IMG_0914
Sala ya kumuongea Ngwair ikiendelea

IMG_0904

IMG_0906

IMG_0908

IMG_0909

IMG_0910

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents