Picha

Picha: ‘Mabibi Bomba’ waingia rasmi mjengoni, mshindi kuzawadiwa shilingi milioni 12

Shindano la Bibi Bomba linalooneshwa kupitia Clouds TV, jana limezinduliwa rasmi na jumla ya mabibi 11 wameingia kuishi kwenye jumba la pamoja kuchuana kuwania kitita cha shilingi milioni 11.

Baadhi ya wageni waalikwa
Baadhi ya wageni waalikwa”

Mabibi waliofanikiwa kuingia mjengoni ni pamoja na Fatma Abdalla,Chiku Omary,Agatha Mahinya,Rukia Mbalingwa,Mgeni Ibrahim,Veronika Kayombo na Asha Ismail. Wengine ni Rehema Nassoro, Tabitha Tungaraja,Celistina Apollo na Talaka Nyanja.

Babuu akiyarudi na ma Bibi hapo
Babuu akiyarudi na mabibi

Babuu wa kitaa akimkaribisha Bibi Vero ambaye ndo alikuwa mshindi wa mwaka jana

Babuu wa kitaa na  Program Manager wa Clouds Tv Lee Ndaisaba
Babuu wa kitaa na Program Manager wa Clouds TV Lee Ndaisaba

Baranaba alikuwepo kutoa burudani pamoja na Odama Band
“Barnaba alikuwepo kutoa burudani pamoja na Odama Band

Benny Kinyaiya akiwa na ma Bibi bomba
Ben Kinyaiya akiwa na mabibi Bomba

Bibi Vero akicheza na mjukuu wake
Bibi Vero akicheza na mjukuu wake

Dude kutoka Bongo Movie pamoja na Program Manager wa Clouds Tv wakikata utepe kuzindua Nyumba hiyo iliyopo Mbezi Beach
Dude kutoka Bongo Movie pamoja na Program Manager wa Clouds TV wakikata utepe kuzindua nyumba hiyo iliyopo Mbezi Beach

Hapa sasa ma Bibi walikuwa na presha mana ndo ulikuwa wakati wa mchujo
Hapa sasa mabibi walikuwa na presha maana ndo ulikuwa wakati wa mchujo

Hawa ndo baadhi ya Ma bibi walio ingia mjengoni
Hawa ndio baadhi ya mabibi waliongia mjengoni

Hawa wote ni wanaitwa ma bibi Vero mwenye kiremba ndo mshindi wa mwaka jana

Hii ndo Nyumba ambayo ma Bibi Bomba watakuwa wanakaa
Hii ndo nyumba ambayo mabibi hao watakuwa wanakaa

Huyu ni Bibi Vero alikuwa kivutio sana hapo akicheza kwa furaha baada ya kuambiwa kaingia  Mjengoni
Bibi Vero alikuwa kivutio sana, hapo akicheza kwa furaha baada ya kuambiwa kaingia mjengoni

Ma Bibi walio fanikiwa kuingia mjengoni ndo hawa wakiwa ndani
Mabibi waliofanikiwa kuingia mjengoni ndo hawa wakiwa ndani

Mabibi group la kwanza hao
Kundi la kwanza la mabibi

Mabibi wajiwasili mjengoni
Mabibi wakiwasili mjengoni

Mabibi wakikaribishwa kuingia mjengoni baada ya ufunguzi
Mabibi wakikaribishwa kuingia mjengoni baada ya ufunguzi

Mizigo ya kina Bibi Bomba ikishushwa ikishushwa
Mizigo ya akina bibi Bomba ikishushwa

Nahawa ma Bibi Group la pili
Kundi la pili

Sakina Lyoka

Sehemu walio kuwa wamekaa ma Bibi na Ndugu zao walio fika

Shadey

wakati wa Burudani ukafika acha wee

Ally Nipishe nae alikuwepo

IMG_8061

IMG_8090

IMG_8098

IMG_8117

IMG_8124

IMG_8125

IMG_8133

IMG_8138

IMG_8139

IMG_8143

IMG_8151

IMG_8152

IMG_8154

IMG_8156

IMG_8159

IMG_8164

IMG_8165

IMG_8173

IMG_8175

IMG_8180

IMG_8184

IMG_8196

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents