Habari

Picha: Mahujaji milioni 2 watua Makka kufanya Hijja

By  | 

Mahujaji zaidi ya milioni mbili kutoka duniani kote wamedaiwa kuwasili mjini Makka katika nchi ya Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya Hijja.

Hili linatokea kwa mara ya kwanza ikiwa ni miaka miwili imepita baada ya waislamu zaidi ya 2,000 kupoteza maisha mjini humo kwa kuangukiwa na kifusi wakati walipokuwa katika kutekeleza ibada kama hiyo.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments