Shinda na SIM Account

Picha: Makamu wa Rais akutana na ujumbe kutoka UNICEF

Makamu wa Rais, Samia Suluhu amekutana na ujumbe kutoka UNICEF na amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania leo, Ikulu jijini Dar es salaam.


Makamu wa Rais akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Bi. Maniza Zaman aliyefika ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW