Habari

Picha: Makamu wa Rais alivyoongoza kikao cha mazingira Dar

By  | 

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Wadau wa Mazingira kuhusu Changamoto ya Mafuriko na ili kujikinga na maafa yatakayotokana na mvua hasa mafuriko

Mkutano huo umeudhuriwa na viongozi na mawaziri mbalimbali akiwamo Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, January Makamba, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda na wakuu wa wilaya.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments