Habari

Picha: Makamu wa Rais aongoza maadhimisho ya siku Maadili ya Haki za Binadamu Kitaifa

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan aongoza wakazi wa mji wa Dodoma katika Maadhimisho ya Siku ya Maadili ya Haki za Binadamu Kitaifa yanayofanyika kwenye uwanja wa Kumbukumbu ya Nyerere.


Makamu wa Rais akisalimia na Kamishna wa dawa za kulevya,Rogers William Sianga


Makamu wa Rais akizungumza na Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Ndugu Bahame Tom Nyanduga


Makamu wa Rais akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Philip Mpango


Makamu wa Rais akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Valentino Mlowola.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents