Habari

Picha: Makamu wa Rais Mama Samia akutana na bosi wa UN Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu leo amekutana na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez ambaye alimtembelea ofisini kwake.


Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu akizungumza na Mratibu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Alvaro Rodriguez

Miongoni mwa mambo waliyojadili ni ushirikiano mzuri unaoendelea kati ya mashirika lake na serikali ya Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents