Habari

Picha: Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu alivyowasili Zanzibar

Kuelekea kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru na madhimisho ya miaka 18 ya kumbukumbu ya kifo cha Mwalimu Julius Kambaraga Nyerere, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili rasmi jioni hii kisiwani Zanzibar kwa ajili ya kuhushuhudia sherehe hizo ambapo mgeni rasmi atakuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli.

Mama Samia amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Mjini Maghharibi , Ayoub Mohamed Mahamud pamoja na Mawaziri kutoka Tanzania Bara na wengine kutoka katika serikali ya Mapinduzi Zanzibar.
Picha za mapokezi.

Na Salumu Kaorata

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents