Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Habari

Picha: Makamu wa Rais, Waziri Ummy watembelea Hospitali ya CCRBT

By  | 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Tanzania Mama. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wametembelea hospitali ya CCRBT Dar es Salaam.

Katika ziara hiyo Makamu wa Rais amesema huduma za afya ya Mama na Mtoto kwa Mkoa wa Dar es Salaam imefikia asilimia 80 ukilinganisha na miaka ya nyuma iliyopita.Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW