Michezo

Picha: Malejendari wa Manchester United na Real Madrid kwenye mechi ya kirafiki

KOCHA Sir Alex Ferguson alikuwa jukwaani akishuhudia magwiji wa Old Trafford wakimenyana na magwiji wa Real Madrid katika mchezo wa kirafiki wa hisani uliofanyika jana.

Zinedine Zidane akimtoka Denis Irwin
Zinedine Zidane akimtoka Denis Irwin

Bryan Robson aliiongoza timu hiyo ya England mbele ya mashabiki zaidi ya 60,000.

Timu ya malejendari wa Real Madrid jana imewafunga wenzao wa Manchester United kwa mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa katika Uwanja wa Old Trafford, Manchester.

Mabao ya Madrid yalifungwa na Morientes dakika ya 40 ya mchezo na De La Red dakika ya 84, wakati la Man Utd likifungwa na mshambuliaji Van Nistelrooy katika dakika ya 67.

Andy Cole alidhibitiwa
Andy Cole alidhibitiwa

Claude Makelele akipambana na Paul Scholes
Claude-Makelele-akipambana-na-Paul-Scholes

Dwight Yorke akipiga shuti pembeni ya Francisco Pavon
Dwight-Yorke-akipiga-shuti-pembeni-ya-Francisco

Edwin van der Sar aliokoa sana
“Edwin van der Sar alikuwa shujaa kwa Man U aliokoa sana

Fernando Hierro na Denis Irwin walikuwa Manahodha
“Fernando Hierro na Denis Irwin walikuwa Manahodha

Jaap Stam akipambana na Ruud van Nistelrooy, ambaye aliichezea kila timu kipindi kimoja
Jaap Stam akipambana na Ruud van Nistelrooy, ambaye aliichezea kila timu kipindi kimoja

Magwiji wa Real Madrid wakimpongeza Fernando Morientes
Magwiji wa Real Madrid wakimpongeza Fernando Morientes

Picha ya pamoja ya magwiji wa Real Madrid na Manchester United
Picha ya pamoja ya magwiji wa Real Madrid na Manchester United

Ruud van Nistelrooy baada ya kuifungia United
Ruud van Nistelrooy baada ya kuifungia United

Sir Alex Ferguson na Sir Bobby Charlton
Sir Alex Ferguson na Sir Bobby Charlton wakiwa jukwaani

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents