Burudani ya Michezo Live

Picha: Mama Janeth Magufuli awatembelea watoto yatima na wazee Zanzibar

Mama Janeth Magufuli na Mama Mwanamema Shein leo wamewatembelea baadhi ya watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha yatima cha Mazizini Unguja ambako wake hao wa Marais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na wa Zanzibar walitembelea ambapo Mama Magufuli alitoa msaada wa vyakula mbali mbali na mafuta ya kupikia na sukari.

Picha zote na IKULU

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW