Michezo

Picha: Mamadou Sakho na familia yake wanavyozidi kuipa shavu Tanzania

Mamadou Sakho anayechezea klabu ya soka ya Liverpool ya Uingereza ambaye yupo nchini na familia yake kwa ajili ya mapumziko wameonyesha kuyafurahia mazingira ya Tanzania kutokana na vivutio vilivyopo.

Mke wa mchezaji huo Majda Sakho amethibitisha hilo kwa kuweka picha tatu katika mtandao wa Instagram zikiwaonyesha wakiwa katika mbuga ya wanyama ya Serengeti iliyopo mkoani Manyara pamoja na watoto wao Aïda na Sienna.

“?Another family day in Tanzania ? #family #familyfirst #vacations #love #blessed #africa #summer17 #instamoments #instalikes #instafamily #instadaily @mamadousakho3,” ameandika kwenye picha hiyo hapo juu aliyoiweka katika mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents