DStv Inogilee!

Picha: Mambo yalivyokuwa kwenye Bongo All Stars – Business Park Dar

Usiku wa May 9, 2015, ulikutanisha wanamuziki mbalimbali kutoka kwenye tasnia ya muziki yaani wasanii wa muziki wa kizazi kipya, lengo kuu ilikuwa ni kuoneshana ujuzi wa kazi zao.

Walengwa kabisa kwenye tamasha hilo walikuwa ni wanamuziki wanaofanya Bongo Flava na Bongo Hip Hop. Baadhi ya wasanii wa Bongo flava walitumbuiza kwenye usiku huo uliopewa jina la Bongo All Stars. Jionee picha za kilichojiri kwenye show hiyo iliyofanyika kwenye ukumbi wa Business Park.

[ngg_images gallery_ids=”4″ display_type=”photocrati-nextgen_basic_imagebrowser”]

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW