MichezoUncategorized

Picha: Man City walivyoshangilia kuimaliza Arsenal ndani ya Wembley kwa kipigo cha ‘Mbwa Mwizi’

Pep Guardiola amefanikiwa kushinda kombe lake la kwanza akiwa na Manchester City baada ya kuifunga Arsenal kipigo cha ‘Mbwa Mwizi’ cha mabao 3-0. Fainali hiyoimeifanya Arsenal kufikisha idadi ya kupoteza fainali ya sita kati ya nane ambazo wamewahi kucheza katika League Cup. Hizi ni baadhi ya picha za Man City walivyofurahia baada ya kuchinda kombe la Carabao Cup.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents