Michezo

Picha: Man United warudi kinyonge Uingereza baada ya kipigo cha Bayern Munich

Kikosi cha Manchester United kimerejea nchini Uingereza asubuhi ya leo mara baada ya kumaliza ziara yao ya kujiandaa na msimu mpya wa ligi.

Alexis Sanchez and Ander Herrera (left) arrived home with Manchester United on Monday

United ilikubali kipigo cha bao 1 – 0 dhidi ya Bayern Munich hapo jana usiku wakati Javi Martinez akitupia goli hilo ambalo liliwatofautisha na mashetani wekundu.

Juan Mata and David de Gea walk through Manchester airport after flying back from Germany

Sasa Man United inajipanga na michezo mbalimbali ya ligi kuu Uingereza inayotarajiwa kuanza hivi karibuni.

United manager Jose Mourinho pictured at the end of a miserable pre-season for his side

Mourinho anatarajia kukabiliana na Leicester kwenye mchezo wake wa kwanza siku ya Ijumaa majira ya usiku.

New signing Fred still took the time to sign autographs for fans who had gathered at airport

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents