Picha

Picha: Mapacha, Mkoloni, Profesa Jay, Abby Sykes na Black Rhyno wakibariki Kilinge cha March 2

Kilinge cha Tamaduni Muzik ambacho hufanyika kila siku za Jumamosi pale Msasani Club jijini Dar es Salaam kilianza kama utani lakini sasa hivi kimekua na mastaa kibao wa Hip Hop ya Tanzania wameanza kujitokeza na kuperform.

Ni sehemu ambapo wasanii wa hip hop wanaimba kwa passion na si kwaajili ya fedha. Ni sehemu ambapo wanajibrush uwezo wao kwenye stage mbele ya mamc wengine wakali. It’s about having fun and showing the love for Hip Hop.

Kinachofurahisha zaidi ni wahudhuriaji wa Kilinge hicho ambao hakika ni mashabiki wa Hip Hop damu damu. Jana Profesa Jay alihudhuria kwa mara ya pili na hii ni baada ya kuona umuhimu wa kuhudhuria huku Mapacha, Mkoloni, Mzee Abby Sykes (baba yake na Dully Sykes) na Black Rhyno nao wakishika kipaza kuonesha uwezo wao wakisindikizwa na mamc waanzilishi wa Kilinge hicho kutoka Tamaduni Muzik.

Hizi ni picha za kilinge cha March 2, 2013. Picha na Ngome Video Facebook

Mashabiki wa Hip Hop wakishuhudia kilinge
Mashabiki wa Hip Hop wakishuhudia kilinge
Profesa Jay na shabiki
Profesa Jay na shabiki

599147_536406026403511_73439056_n

Zaiid, Profesa na Songa kulia
Zaiid, Profesa na Songa kulia
Nikki Mbishi
Nikki Mbishi

544472_536403496403764_2010522647_n

Mapacha
Mapacha

554946_536403726403741_1765778597_n

Zaiid akiwakilisha
Zaiid akiwakilisha
Mzee Abby Sykes
Mzee Abby Sykes
Mapacha na Nikki Mbishi
Mapacha na Nikki Mbishi
Duke
Duke
Mapacha na Profesa
Mapacha na Profesa

385857_536405936403520_1438027573_n

385892_536402949737152_1487792717_n

Profesa akichana
Profesa akichana
Black Rhyno
Black Rhyno

72688_536404559736991_1113947801_n

Mzungu shabiki wa Kilinge
Mzungu shabiki wa Kilinge
Mkoloni akichana
Mkoloni akichana

23404_536400689737378_301537601_n

Mzee Kijana
Mzee Kijana

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents