Michezo
Picha: Mario Balotelli alivyoteremsha bukta uwanjani
Mshambuliaji wa Italia, Mario Balotelli ambaye hivi karibuni alizozana na mwamuzi katika mechi ya kirafiki jana aliteremsha bukta yake akiwa mazoezini Melwood na timu yake Liverpool. Huu ni mfululizo wa vituko vingi vya mshambuliaji huyo.