Michezo

Picha: Mario Balotelli na Cesc Fabregas kutumia kiatu kipya cha Puma ‘Evo Power’ kwenye kombe la dunia

Kampuni ya kutengeneza vifaa vya michezo kama jezi,viatu,mipira na kadhalika ya Puma imezindua viatu vya Evo Power kwaajili ya kombe la dunia 2014 linalofanyika Brazil mwaka huu. Puma imewatangaza wachezaji watakaotumia viatu hivyo kuwa ni pamoja Super Mario Balotelli wa Italia na Cesc Fabregas kutoka Hispania katika uzinduzi wake.

v-3

v-4

v-21bb3

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents