Michezo

Picha: Mashindano ya foosball yazinduliwa kwa mara nyingine jijini Dar

Kampuni ya bia ya Heineken jana katika hotel ya Kempiski jijini Dar es salaam imezindua msimu wa pili wa kampeni ya michuano ya Foosball kwa nchi za Afrika Mashariki ambapo itaanza kufanyika hivi karibuni kwenye mikoa mbalimbali hapa nchini.

Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe akiwa na washindi wa foosball mwaka 2013
Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe akiwa na washindi wa foosball mwaka 2013

Akizungumza katika uzinduzi huo ,Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe alisema kuwa wameamua kuzindua mchezo huo baada ya mashabiki kuhamasika zaidi.

“Foosball ambayo inachezwa na mashabiki wengi ulimwenguni,umekua kati ya michezo inayokuwa zaidi kila siku na hivyo tumeamua kuzindua tena kampeni hii ili kuendelea kuongeza mashabiki wa soka. Kwa mwaka wa pili mfululizo Heineken inaendesha michuano ya foosball,baada ya kufanya vizuri msimu uliyopita,hivyo tunatarajia mashabiki wa soka wataongeza ufanisi zaidi kwenye msimu huu,” alisema Uche

Kibonde akizungumza
Kibonde akizungumza

Mchezo wa foosball ukiendelea
Mchezo wa foosball ukiendelea

Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe  akiwa na wamiliki wa bar ambazo zitachezeka mchezo wa foosball mwaka huu
Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe akiwa na wamiliki wa bar ambazo zitachezeka mchezo wa foosball mwaka huu

Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe  akizungumza na Kibonde
Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe akizungumza na Kibonde

Mkurugenzi mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe
Mkurugenzi Mkuu wa Heineken Tanzania Uche Unigwe

Wadau mbalimbali walijitokeza
Wadau mbalimbali walijitokeza

IMG_7825

IMG_7837

IMG_7840

IMG_7861

IMG_7868

IMG_7917

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents