Burudani

Picha: Mastaa wa Afrika walivyowasha moto kwenye One Africa Music Fest mjini London

By  | 

Usiku wa Jumamosi ya Mei 13 limefanyika tamasha la One Music Africa Fest mjini London katika ukumbi wa SSE Arena Wembley. Wasanii kibao kutoka bara la Afrika walitumbuiza katika tamasha hilo, akiwemo Alikiba, Davido,Tiwa Savage, Sarkodie, Tekno, Victoria Kimani, P-Square, Cassper Nyovest, Mr Flavour na wengine.

Tamasha hilo pia lilikuwa likionyeshwa moja kwa moja kupitia mtandao wa Tidal unaomilikiwa na Jay Z pamoja na mastaa wengine wakubwa. Hizi baadhi ya picha za wasanii hao wakiwasha moto jukwaani.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments