Michezo
Picha: Mastaa wa Marekani walivyojitokeza kwenye NBA-Allstar Weekend
Timu za upande Mashariki na upande wa Magharibi zimekutakana Ijumaa hii kwenye mechi ya Celebrity All Star Basketball Game huko New Orleans. Hizi ni baadhi ya picha za mechi hiyo.