Mitindo
Picha: Mastaa walivyotupia Red Carpet ya tuzo za Oscar 2018
Mastaa mbalimbali wamejitokeza katika zuria jekundi la ugawaji wa tuzo za filamu za Oscar 2018 zilizotolewa usiku wa kuamkila leo katika ukumbi wa Dolby Theatre, Los Angeles nchini Marekani. Huu ni msimu wa 90 wa ugawaji tuzo hizo kubwa duniani mastaa hao ni kama vile Common,Lakeith Stanfield,Chadwick Boseman,Daniel Kaluuya,Mary J. Blige,Lupita Nyong’o,Nicole Kidman,Taraji P. Henson na wengineo wengi.
Picha zote na: Kevork Djansezian