Burudani

Picha : Mastaa walivyotokea katika ‘Alter Ego’ ya Omotola

Uzinduzi wa filamu mpya ya Omotola Jalade ‘Alter Ego’, umefanyika siku ya jana  Lagos Nigeria kwenye ukumbi wa InterContinental Hotel, Victoria Island.

Omotola Jalade Ekeinde na Stephanie Linus

Omotola aliambata na mumewe Captain Matthew Ekeinde pamoja na baadhi ya mastaa kama Rita Dominic, Michelle Dede, Uzor Osimkpa, Adebola Williams, Stephanie Linus, Delphine Okobah, Tallulah Doherty na wengineo.

Omotola na mume wake

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents