Burudani

Picha: Mastaa walivyotokea katika show Babu Seya Papii Kocha

By  | 

Usiku wa kuamkia March 11, 2018 Babu Seya na mwanae, Papii Kocha waliandika historia kwa  kufanya show ya kwanza ya aina yake baada ya kutumikia kifungo gerezani kwa kipindi cha miaka 14. Hizi ni baadhi ya picha za watu maarufu waliohudhuria show hiyo.Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments