Mitindo

Picha: Mastaa walivyotokea kwenye Red Carpet ya Met Gala 2018

Miongoni mwa matamasha ambayo yatakutanisha vita ya mitindo kwa mastaa ni Met Gala.

Jumatatu hii limefanyika onyesho hilo mjini New York katika ukumbi wa Metropolitan Museum of Art Costume Institute, na kuhudhuriwa na mastaa kibao akiwemo Rihanna, Kim Kardashian, Migos, SZA, Jennifer Lopez, Kendall Jenner na wengine.

Lakini kubwa zaidi kwenye onyesho hilo liliwakutanisha uso kwa uso kwa mara ya kwanza Nicki na Cardi B ambao wameonekana kuingia kwenye mgogoro tangu ilipotoka ngoma ya MotorSport miezi mitano iliyopita.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents