Burudani

Picha: Mastaa walivyotokea kwenye Red Carpet ya SAG Awards

Usiku wa Jumapili hii zimetolea tuzo za filamu za Screen Actors Guild Awards (SAG Awards) katika ukumbi wa Shrine Auditorium mjini Los Angeles, Marekani. Hii ni mara ya 24 tuzo hizo zinatolewa nchini humo ambapo mastaa kibao wamehudhuria kwa mwaka huu akiwemo Lupita Nyong’o, Halle Berry, Margot Robbie, Nicole Kidman, Dakota Fanning, Allison Williams na wengine.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents