Burudani

Picha: Mastaa walivyotokea uzinduzi wa filamu ya ‘King Arthur: Legend of the Sword’

Jumatano hii ilifanyika sherehe ya premiere ya filamu ya King Arthur: Legend of the Sword katika ukumbi wa Leicester Square mjini London, Uingereza. Filamu hiyo imewakutanisha mastaa kadhaa nadni yake wakiwemo mchezaji soka David Beckham, Charlie Hunnam, Jude Law, Poppy Delevingne na wengine.

Sherehe hiyo ilihudhuriwa na watu maarufu kibao akiwemo Beckham na mwanae Brooklyn, muongozaji wa filamu Uingereza, Guy Ritchie mwanamitindo Jacqui Ainsley na wengine. Filamu hiyo inatarajiwa kutoka rasmi Mei 19 mwaka huu.

Hizi ni baadhi ya picha za red carpet katika sherehe hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents