Picha: Mastaa walivyotokelezea katika tuzo za SoundcityMVP

Usiku wa kuamkia leo Afrika imeendelea kusheherekea mafanikio ya muziki wake kwa ugawaji wa tuzo za muzuki za Soundcity MVP Awards 2017 zilizofanyika nchini Nigeria, katika ukumbi wa Eko Convention Centre ambapo mastaa kadhaa waliudhulia shughuli hiyo. Kubwa zaidi ni pale walipoamua kutokelezea ki-fashion zaidi.

Hizi ni baadhi ya picha za mastaa hao walivyotokelezea:

Tiwa Savage
Cassper Nyovest
Toke Makinwa
Bovi
Michelle Dede
Ebuka Obi-Uchendu
Ebuka Obi-Uchendu
Skales
Moet Abebe
Timini Egbuson

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW