Habari

Picha: Matukio yaliyojiri Bungeni Dodoma

Jumatano hii, katika kikao cha 33, mkutano wa 7 Bunge la 11 mjini Dodoma, wabunge mbalimbali waliuliza maswali na kujibiwa na serikali.


Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akiongoza kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo

Tazama picha za wabunge mbalimbali wakiwa Bungeni:


Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akijibu hoja mbalimbali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo

PICHA ZOTE NA MAELEZO

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe.Eng Stella Manyanya akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Ujenzi,Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.William Lukuvi akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Mhe.Dkt,Khamis Kigwangalla akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angelina Mabula akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Amina Mollel akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CCM) Mhe.Ally Keissy akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Anna Lupembe akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri wa Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akimskiliza Mbunge wa kaliua(CUF) Mhe.Magdalena Sakaya katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Mbunge wa Monduli (CHADEMA) Mhe.Julius Laizer akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Mbunge wa Viti Maalum(CCM) Mhe.Kiteto Koshuma akiuliza swali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Wabunge wa CHADEMA,Mhe.John Mnyika(Kibamba) na Mbunge wa Bunda Mhe.Esther Bulaya wakifuatilia hoja mbalimbali katika kikao cha thelasini na tatu cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents