Habari

Picha: Matukio yaliyojiri Bungeni Dodoma

Jumatatu hii, katika kikao cha 58, mkutano wa 7 Bunge la 11 mjini Dodoma, wabunge mbalimbali waliuliza maswali na kujibiwa na serikali


Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu muswada wa Sheria ya Mamlaka ya Nchi kuhusiana na umiliki wa maliasili wa mwaka 2017 katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa hamsini na nane wa Bunge la 11 leo

PICHA ZOTE NA MAELEZO, DODOMA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais-TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Nishati na Madini Mhe.Dk Medard Kalemani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Isack Kamwelwe akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe.Ramo Makani akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dk.Ashatu Kijaji akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na watu wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama akiteta jambo na Waziri wa fedha na Mipango Mhe.Dk Philip Mpango katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Kuchaguliwa Mhe.Salma Kikwete katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo


Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akiteta jambo na Mbunge wa Vunjo Mhe.Eng James Mbatia katika kikao cha hamsini na nane cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo

Na Emmy Mwaipopo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents