Burudani
Picha: Yaliyojiri tamasha la Coachella
Tamasha la Coachella Valley Music and Arts lilianza wikiendi ya Jumamosi ya April 15 katika viwanja vya Empire Polo, Indio mjini California nchini Marekani na linatarajiwa kufikia tamati April 23. Mpaka sasa wasanii kibao wameshatumbuiza akiwemo Kendrick Lamar, Future na wengine wengi. Hizi ni baadhi ya picha za yaliyojiri