Habari

Picha: Mazishi ya Mama Lucy Kibaki yalivyofanyika huko Kenya

Siku ya Jumamosi yalifanyika mazishi ya mke wa rais mstaafu wa Kenya, Mama Lucy Kibaki.

buri1lkot

Mazishi hayo ya Mama Lucy yalifanyika kwenye makaburi ya Kibaki’s Kanyange ambako viongozi kadhaa walihudhuria mazishi hayo akiwemo rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta na rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete.

Hata hivyo wakati wa mazishi vyombo vya habari havikuruhusiwa kufika kwenye maeneo ya makaburi.
Mama Lucy Kibaki Kibaki alifariki siku ya Jumanne, April 26 kwenye hospitali ya Bupa Cromwell iliyopo jijini London, nchini Uingereza.

Hizi ni baadhi ya picha za mazishi ya Mama Lucy Kibaki.

buri4lkot

buri3lkot

buri7lkott

buri6lkot

buri9lkot99

buri10lkoty7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents