Bongo MoviePicha

Picha: Mazishi ya msanii wa filamu Kashi yaliyofanyika leo

Waigizaji na wadau mbalimbali leo wamekusanyika kwenye mazishi ya muigizaji wa filamu nchini, Kashi aliyefariki wiki hii. Mazishi hayo yamefanyika kwene makaburi ya Kinondoni Muslim.

Hostaz wakiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim
Ustaadh akiwa anamswalia Marehemu Kashi leo Kinondoni Muslim

IMG_4436

IMG_4438

IMG_4442

IMG_4463

IMG_4464

Jacqueline wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi
Jacqueline Wolper akiwa amekaa na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi
Kaburi la marehemu Kashi leo, kabla ya mazishi

Kitale na wasanii wenzake
Kitale na wasanii wenzake

Msanii wa bongomovie Big
Msanii wa bongo movie Big

Msanii wa movie akilia kwa uchungu
Msanii wa movie akilia kwa uchungu

Msanii wa Movie Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi.
Claud akibadilishana mawazo na wasanii wenzake leo nyumbali kwa marehemu Kashi kabla ya mazishi

Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.
Msanii wa movie Monalisa akisalimiana na wasanii wenzake leo nyumbani kwa marehemu Kashi.

Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na menager wake.
Msanii wa movie Mustaph the best akiwa na manager wake.

Mwigizaji wa Tamdhiria ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.
Mwigizaji wa TamdhiLia ya ITV akisaini kitabu cha mchango wa mazishi leo.

Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim
Mwili wa marehemu Kashi baada ya kuwasili makaburini Kinondoni Muslim

Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia.
Mwili wa marehemu Kashi tayari umelazwa kaburini na wadau wanamwifadhi kwa kufukia

Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi
Mwili wa marehemu Kashi unapelekwa makaburini kinondoni Muslim kwa mazishi

Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi.
Mzee Chilo akijadili jambo na msanii mwenzake nyumbani kwa marehemu Kashi

Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF),Simon Mwakifwamba

Shughuli ya mazishi inaendelea
Shughuli ya mazishi inaendelea

Wa,mama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.

Wamama na wasanii wa movies wakiwa wanatafakari jambo.

Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo.
Wadau mbalimbali wakimwifadhi Kashi leo

Wadau mbambali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim
Wadau mbalimbali na wasanii wa movie wakiusindikiza mwili wa marehemu Kashi makaburi Kinondoni Muslim

Wasanii wa movie Tanzania  kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo
Wasanii wa movie Tanzania kutoka kulia Mzee Magari,Mzee Chilo na wenzake akiteta jambo

Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi.
Wasanii wa movie wakijadili jambo nyumbani kwa marehemu Kashi

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents