Habari

Picha: Mazishi ya mtangazaji wa EFM yalivyofanyika kwenye makaburi ya Kinondoni

Hatimaye Seth Katende maarufu kama Bikira wa Kisukuma ambaye alikuwa mtangazaji wa kipindi cha Ubaoni cha EFM, amezikwa mchana huu katika makaburi ya Kinondoni baada ya taratibu za kuuwaga mwili wa marehemu kukamilika katika viwanja vya Leaders Club.

Katika mazishi hayo yam,ehudhuriwa na umati mkubwa wa watu, wakiwemo wasanii, watangazaji kutoka vituo mbalimbali, viongozi wa serikali, wanasiasa na watu wengine maarufu. Hizi ni baadhi ya picha wakati wa mazishi hayo.


Picha ya mtoto wa marehemu akiwa amebebwa

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents