MichezoUncategorized

Picha: Mazishi ya mtoto shabiki wa Sunderland ‘Bradley Lowery’

Makundi ya waombolezaji wamekusanyika katika mazishi ya kijana, Bradley Lowery, aliyekuwa shabiki namba moja wa klabu ya Sunderland aliyekuwa na umri wa miaka sita ambaye amefariki siku ya ijumaa kutokana na maradhi ya kansa.

Njia zote za kuelekea katika Kanisa la St Joseph zimepambwa na balloons ambapo mwili wake unatarajiwa kuagwa, Maelfu ya mashabiki walikuwa pia walimuaga katika uwanja wa Sunderland.

Tazama picha hapa chini.

 

Safari ya mwisho ya kijana, Bradley Lowery ambaye alikuwa shabiki namba moja wa klabu ya Sunderland. Familia ya Bradley itavaa jezi za mpira wa miguu kamaa heshima na upendo katika mchezo huo.

By Peter Akaro

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents