Kama sio DStv potezea
TECNO Spark 2

Mitindo

Picha: Mbunifu Tom Ford alivyoanza New York Fashion Week

By  | 

Ni mwaka mwingine wa maonyesho ya mavazi ya New York Fashion Week NYFWSS18, yakihusisha mavazi ya kipindi Spring/Summer 2018.

Wabunifu mbalimbali wamenza kuonyesha mavazi ya kipindi cha Spring 2018, ambapo mavazi mbalimbali yamebuniwa kwa ajili ya kipindi hicho.

Kwa upande wa mbunifu Tom Ford ameonyesha mavazi yake na yalivaliwa na wanamitindo maarufu kama vile Kendall Jenner, Joan Smalls, Mayowa Nicholas na wengineo.

Picha:

Picha by: Yannis Vlamos | www.vogue.com

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments

Bongo5

FREE
VIEW