Habari

Picha: Mhe. Zitto afikishwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge

Mbunge wa Kigoma Mjini, Mhe. Zitto Kabwe amefikishwa mbele ya Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa kufuatia kutoa kauli za kulidhalilisha Bunge.

Zitto alikamatwa jana katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl Julius Nyerere akitokea Kigoma na kusafirishwa mpaka Dodoma akiwa chini ya ulinzi wa polisi.

Zitto Kabwe atoa maneno mazito kwa Spika Ndugai

PICHA NA OFISI YA BUNGE

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents