Burudani

Picha: Mkali wa The Playlist kusepa?

By  | 

Mtangazaji wa kipindi cha The Playlist cha Times FM, Omary Tambwe a.k.a  Lil Ommy ameweka bayana kuwa ifikapo siku ya kesho ndio mwisho wa kipindi hicho kuruka katika radio hiyo.


Kupitia mtandao wa Instagram mtangazaji huyo ameandika “Jumamosi hii ndo Show yangu ya mwisho kufanya ya THE PLAY▶LIST Times FM. So guys nisome kwenye code zingine. Nashukuru Sapoti ya kila mmoja wenu. Much Respek to y’all. Thanks for ur luv n support ???.”.

Hizi ni baadhi ya picha za mstar wa bongo waliopita katika show yake.

Na Laila Sued

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments