Mwanamuziki Diamond Platnumz amefanya mkutano na wasanii wa nchini Rwanda.
Diamond yupo nchini Rwanda kwa ajili ya kuzindua biashara zake ‘Chibu Perfume na Diamond Karanga’. Kupitia mtandao wa Instagram ameandika;
Last night during my Dinner with my Fellow Artists from #Rwanda! It was a great evening, sharing experiences and ideas….Time to put our East African / African industry on the global map! Let’s do it, fam….✊