Picha

Picha: Model wa Tanzania Daxx ‘anapush’ Toyota Land Cruiser VXR

Kama ameweza kufanya matangazo ya brand kubwa ya Adidas na zingine pamoja na kushiriki kwenye fashion show kubwa duniani, milioni 60 ama zaidi kwa Daxx si pesa ya mawazo. Model huyo wa Tanzania anayefanya kazi nchini Afrika Kusini kwa sasa anacruise mjini na Toyota Land Cruiser VXR, brand new.

a24479860b0611e39bac22000a9f13d0_7
Picha ya Daxx aliyoiweka jana Instagram na kuandika: Am running….deal after deal…God bless my Thursday

355f83f20bff11e3bd9a22000a9f14ba_7
Picha hii ameiweka leo na kuandika; Mtoto kashaoga..tukutane baadae

Nani amesema modelling hailipi? Mfahamu zaidi Daxx kwenye picha hizi:

blogger-image-130174369

blogger-image--544320456

blogger-image--646605589

blogger-image-1467636918

blogger-image-1553266273

d

d3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents