Michezo

Picha: Morata atua Singapore kuungana na Chelsea

By  | 

Mshambuliaji mpya wa Chelsea, Alvaro Morata mapema leo ametua katika uwanja wa ndege wa Changi International Airport mjini Singapore kwa ajili ya kuungana na timu yake hiyo mpya ambapo ipo nchini humo kwa ziara ya mechi zake za kirafiki.

Morata ametangazwa Ijumaa hii kusajiliwa na Chelsea kwa ada ya uhamisho wa paundi milioni 70.6 akitokea Real Madrid ya Hispania. Tazama picha zaidi za mchezaji huyo alivypokewa na mashabiki wa Chelsea uwanjani hapo.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments