Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Picha: Movie mpya ya Wema Sepetu ‘Madame’ na ya Ray na Naj ‘Fans of Death’

Hizi ni filamu mpya za kibongo ambazo unaweza kuanza kuziona soon.

Madame ni filamu aliyoigiza Wema Sepetu na wakali wengi kama Simon Mwapagata aka Rado, Deogratius Shija, Sudi Ally na Maulid Ally.

f557e8141e8a11e3ba2d22000a1f97cd_7

Fans of Death ni filamu mpya ya Vincent Kigosi aka Ray aliyoigiza na hitmaker wa Don’t Let Me Go, Najma pamoja na Slim Omar.

2c41c1b41f0411e3b61a22000ae80d92_7

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW