Soka saa 24!

Picha mpya mbaya za Agnes Masogange zatinga tena mtandaoni

Picha mpya za malkia wa video za muziki nchini Agness Gerald maarufu kama Agnes Masogange, zimesambaa tena mtandaoni.

agnes1

Picha hizo zinaonesha kuwa ziliwekwa kwenye akaunti yake Instagram yenye jina ‘aggnesfineassgirl’ ambayo hata hivyo tayari imefutwa. Katika picha hizo, Agnes anaonekana akiwa na mpenzi wake wakiwa kwenye mahaba mazito.

masogange

Hii si mara ya kwanza kwa picha za mrembo huyo kusambaa mtandaoni. Mwaka jana video yake inayomuonesha akicheza kama striper mbele ya mpenzi wake kabla ya kuanza kubusiana ilisambaa mtandaoni.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW