Burudani

Picha mpya ya Kim Kardashian akiwa mtupu kwenye jarida yavuja

Picha ya Kim Kardashian itakayotumika kwenye jarida la LOVE inayomuonesha akiwa mtupu imevuja mtandaoni.

kim

Mke huyo wa Kanye West anaonekana akiwa ameangalia mbele huku kila kitu kikionekana.

Picha hizo zilipigwa na mpiga picha maarufu aitwaye Steven Klein.
Jarida hilo linaingia mtaani Feb. 9.

Mwaka jana Kim alimake headlines kwa picha zake za utupu kwenye jarida la Paper.

1160771_965038

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents