Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

Picha mpya za Beyonce lazima udenda ukutoke

Beyonce ni moja kati ya warembo ambao anawavutia wanaume wengi. Mrembo huyo ameamua kuja na njia mpya ya kuonyesha jinsi anavyopigilia nguo kali pamoja na muonekano wake.

Hivi karibuni Queen Bey (36) amekuwa akitupia picha hizo kupitia mtandao wake wa Instagram ambapo ana follower milioni 108 huku zikionekana kuwavutia watu wengi zaidi mpaka baadhi ya vidume wakitamani kuipata nafasi ya Jay Z kwa mrembo huyo.

Mrembo huyo amefanikiwa kupata watoto wa tatu na Jay, akiwemo Blue Ivy na mapacha wao Sir na Rumi Carter. Tazama picha za mrembo huyo ambazo amepost Jumapili hii, lazima udenda ukutoke.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW