Burudani

Picha mpya za Chris Brown kortini!!

Jana Chris Brown alikuwa mahakamani huko Los Angeles kusikiliza kesi yake ya miaka mitatu ya kumpiga Rihanna.

Pamoja na kugundulika kuwa anaendelea kuvuta bangi mahakama iliamua kutoiondoa probation kwake.

Kwa mujibu wa ripoti ya probation, Chris aliwaambia maofisa kuwa alivuta bangi jimboni California ambako anaruhusiwa kuitumia kiafya lakini jimboni Virginia ambako bangi ni haramu vipimo vilimwangusha.

Jaji Patricia Schnegg aliamuru kuwa kesi yake ihamishiwe jimboni California ambako anaishi kwa sasa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents