Burudani

Picha: Mrembo wa Urusi Viki Odintcova alivyohatarisha maisha yake kwenye photoshoot hii

Mwanamitindo kutoka nchini Urusi, Viki Odintcova amefanya jambo ambalo lingeweza kuhatarisha uhai wake wakati akiwa katika kazi yake hiyo.

Mrembo huyo mwenye miaka 23 amepiga picha (photoshoot) nchini Dubai akiwa katika jengo la Cayan Tower ambalo lina urefu wa takribani futi 1000. Baada ya kumaliza kazi hiyo, Viki aliandika katika mtandao wa Instagram ujumbe wenye lugha ya kirusi ukisomeka, “I still cannot believe I did it. Each time you view sweat ladoni???? You did not believe? Watch the new video????link in bio!”

Tazama picha zaidi za mrembo huyo wakati akifanya photoshoot nchini Dubai.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents