Burudani

Picha: Mtoto wa Janet Jackson na bilionea awapa kizungumkuti wazazi wake

Msanii wa muziki nchini Marekani, Janet Jackson ameonekana kwa mara ya kwanza katika jiji la New York akiwa na mtoto wake mwenye miezi sita aliyezaa na Wissam Al Manaa.

Eissa ambaye alizaliwa nchini Uingereza January mwaka huu, kwa mara ya kwanza ameonekana Marekani akiwa na mama yake ambapo awali alikuwepo Uingereza alipokuwa baba yake.

 

Mpaka sasa hamna neno lolote la kuashiria nani ana haki ya kuishi na mtoto huyo. Janeth na Al Mana, bilionea wa Qatar mwenye miaka 41 walifunga ndoa mwaka 2012, na wameachana mwaka huu miezi ya mwanzoni baada ya kujifungua.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents