Burudani

Picha: Mtoto wa Michael Jackson, Paris ajiachia Hawaii na mpenzi wake

Mtoto wa marehemu Michael Jakson, Paris Jackson na mpenzi wake Michael Snoddy waliamua kwenda kupumzika kwa muda kwa kutembelea kwenye kisiwa cha Maui kilichopo Hawaii.

Paris (18) alionekana Jumatano hii kwenye fukwe hizo akifurahia pamoja na mpenzi wake huyo. Tazama picha zaidi hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents